carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hello shimba
Cocochanel
Huu ugonjwa nitakua nao aiseeeh
[emoji121] [emoji257]Mlio safarini niwatakie safari njema
Mzima weweAbeeeeeee
AmenKumekucha na makucha yake. Mungu Atubariki leo katika mahangaiko yetu. Tuliokosana tusameheane ili milango yetu ya mibaraka ikafunguke. Let's go face the world with confidence!
Mbariki mh rais wangu John Pombe Magufuli na viongozi wote wa serikali na chama tawala! Uwape BUSARA zako na HEKIMA zako! Maulana Mola wangu Rabuka unisikie!
Tano
Nakutakia safari njemaQUIGLEY ufike salama[emoji121] [emoji257]