Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Izi zati iveni posibo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]juzi usiku nilimuona mdada akiiii mie ni mnene kwake
Kale ka dada ni kembamba daah!!
Good !!!Wakati tcra ikimfungia wema kushiriki sanaa,rc amuita amber rutty kituo cha polisi kilichokaribu naye
Mimi sina mbinu zo zote. Ndo maana nipo nipo tu kama yeye. Afadhali hata yeye yupo anapambana [emoji16][emoji16][emoji16]Ndo umfundishe mbinu mdogo wako kawa mzembe sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwa yule dada mie ni mnene amini nakwambia.Izi zati iveni posibo?
Mlage jamani. Vyakula vipo. Tatizo ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sina mbinu zo zote. Ndo maana nipo nipo tu kama yeye. Afadhali hata yeye yupo anapambana [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu una video ya amber rutty na boyfriend yake ambayo ina trend sahivi? Kama unayo nitumie PMWakati tcra ikimfungia wema kushiriki sanaa,rc amuita amber rutty kituo cha polisi kilichokaribu naye
Hicho chakula mnachokula kinapotelea wapi? Nyie calories haziwaathiri?Kwa yule dada mie ni mnene amini nakwambia.
Shida si chakula wengine ndo miili yetu hii,tunaridhika.
Halafu vimbaumbau tunakula asikwambie mtu
Yu laiki zati eeeh!?
Hivi mtu mzima hakanwi eeeh? [emoji23]We si tulikutana Mwibara kwenye msiba wa mdogo wake na Kangi majuzi hapa. Mbona unaniruka jamani? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Alikanwa Yesu sembuse miye? Nikane tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Yeaaaaaah! I really like t walahi!! Napenda kudekezwa..Yu laiki zati eeeh!?
Alikanwa Yesu sembuse miye? Nikane tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahaaha,[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] wapi andjulDa potato...jasti from da graundi [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Maza necha teksi kea ofu haselufu walahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]View attachment 911697
Tena ni dhambi itakayosomba wengi sana kwenda motoni kuliko hata uzinzi na kutamani tamani...Kumbuka uongo nao ni dhambi.
NdioTena ni dhambi itakayosomba wengi sana kwenda motoni kuliko hata uzinzi na kutamani tamani...
Kupitia kwako nimejifunza kuwa Tanzania ni nchi nzuri na tumebarikiwa mno. Ikiwezekana nitapenda kutembelea hifadhi hizi kwa wingi kadri inavyowrzekana. Tuombe uzima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ila mimi sijadanganyaNdio