Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kheri tu jirani! Naona jirani, umehama kutoka kuwa mwakikishi wa TTB humu ndani kwa picha zako maridadi za wanyama na kuwa mwakilishi wa kile chama pendwa kwa picha zako za midundo! [emoji1][emoji1][emoji1]
Hapana sijahama, kuna muda watu huchoshwa kuangalia wanyamapori, miti, maji nk, nalazimika kuwapumzisha angalau kidogo[emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…