Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kula like halafu achana na mawazo mgando wewe rushwa haiwezi kuwa marufuku labda raia wote tubadilike kuwa malaika

Shame on you

Ungekuwa unasoma posts za kabla na kuelewa husingedakia na ufinyu wako...

Nimekuambia hatutumii lugha chafu humu

Hatuna hasira na maisha yetu bali upendo

Raisi hayasema hayo kama hutaki kalale mbele

Kweli najua kusoma watu, ona unayoyaandika hata baada ya kukupa makazu live

Naona kidude cha ignore kinakuhusu nisisome ugwandu wako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…