Pole zenu/zao
Indeed walahiPole zenu/zao
Usihofu, keep on posting them.Bradha unaogopa ukweli au utani walahi?
Hahaha kwan vp bro??Bro, we ni kabila gani?
Andaeitini ulikuwepo au unasimuliwa tu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]When JK was a President we were all in happy relationships
[emoji23][emoji23][emoji87][emoji87]Nipo sana nawaangalia tu bro. Kaambie Kazaramo kako mchochee na matarumbeta kabisa. Na vibwebwe mfunge. Na viuno mzungushe kabisa lieleweke moja [emoji36][emoji36][emoji36]
Hahaha bro bhanaHata sasa nipo nawacheki tu hapa kwenye kona. Yaani bro wewe bado sijaamini kabisa dah !!!
Siyo kweli kamanda. Na wengine bila mabonge haya hatuwezi kuishi. Uzembe hoyeee !!! [emoji23][emoji23][emoji23]Kiwa bonge ni uzembeView attachment 923260
Video yake ilinichekesha sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 923261
[emoji23][emoji23][emoji23]si kweli carba,,Yaani wewe na ninge hata hamfai walah[emoji23][emoji23]
Bro. Huyu Numby wa sasa ni version bora kabisa. Ungemuona yule wa zamani mpenda ligi sijui ungesemaje [emoji16][emoji16][emoji16]😀😀😀😀😀
Wewe hata sijui nikuweke kundi gani siku hizi.
Mimi ni mzima pia.
😀😀😀Likes zimekuwa adimu kama..........
Life goes on.................:-D :-D :-D
Andaeitini ulikuwepo au unasimuliwa tu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
mh..Mpoleee kama mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazima kabisa. Hope upo poa pia