We tafuta pesa tu mkuu. Utakula vinono vyote vya dunia hii!Wakubwa wanafaidi
niambie ho chi minhJakitoo,
Kuna jambo mhimu sana wataka nikuambie?
Asante. Nitalala kwa amani sasa kwa sababu ndoa za hapa zinapukutika kama uyoga...hata usijali yetu sisi haitovunjika...[emoji23][emoji23][emoji23] unanchekesha na neno majibaba
Too late son!Jakitoo,
Kuna jambo mhimu sana wataka nikuambie?