Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tunawakat mgumu sana kpnd hkAjiandae kiakili tu
[emoji16][emoji16]
Nimefurahi kukuona andaeitini.Sijawahi soma boarding ndugu yangu..
Hapo kwenye tigo pesa ndio penyewe
Unacheka nn sasa carba?
We acha tu. Hobi zingine zitakuja kutuua walahi [emoji23][emoji23][emoji23]#tokomezanyamauzembe#[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ila Otilie na yeye ni anazngua aisee,,,mwili plastic vile
Aiseee,,,hata wale wasiokuwa andaeitin pia wapo ambao hawakusoma boarding bhnaNimefurahi kukuona andaeitini.
Waliosoma boarding schools kabla ya hizi mambo za tigopesa ndo wanaelewa vizuri hizo mambo za TMO,pesa inatumwa kwa njia ya posta
[emoji1][emoji1][emoji1] wozeeer.....Wewe ndiye asali wa moyo wangu,wa nyuma yako wote waona machangu[emoji445][emoji445][emoji445]
Siku hizi tunawasikiza wabana pua tu [emoji23]
Watu wanapenda manyama uzembe yale ya pale nyuma[emoji23][emoji23].
Nikweli mkuu sijui mnakosea wapi tu?Tunawakat mgumu sana kpnd hk
Aiseee,,,hata wale wasiokuwa andaeitin pia wapo ambao hawakusoma boarding bhna
Huwa unafurahsha kwa kujiwahi,sawa mhenga