MSHAMBULIAJI wa Manchester United aliyesajiliwa kwa mbwembwe kutoka Arsenal, Alexis Sanchez, ameliamsha upya kabisa, kasema haitaki klabu yake hiyo.
Hatua hiyo ni baada ya kumwambia wakala wake amtafutie klabu nyingine na wakala wake amemwambia kuwa kwa sasa anawasliana na Real Madrid inayoshiriki La Liga.