Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kawadhibiti.
Unapo andaa shamba andaa vizur ili nyumba zao zife na kuwaacha katka halu ya hatari ya kuliwa na ndege na wadudu wengine ,kama ni miche na iko kwenye tray...basi weka hizo tray juu ya kichanja.

C) Beetle.
Tuma Karate 40cm/20L.

D) Utitiri
Dawa:Tumia Dynamec au yoyote yenye Abamectin.

E) Nematodes na nk.
Tumia solvigo.

Mavuno
Pilipili huwa tayari kwa kuvunwa siku 60 hadi 95 kutegemea na aina ya mbegu uliyotumia. Chuma kwa uangalifu bila kung’oa mmea ili uendelee kuzalisha. Muvuno yanaweza kudumu kwa muda wa mwezi 1 hadi 3.

Usalama wakati wa uvunaji.
Pilipili huwa na kemikali iitwayo capsaicinoids ambayo inaweza kukuwasha kwenye ngozi au kwenye macho ikiwa utajigusa. Vaa gloves wakati wa kuvuna na kuwa mwangalifu usijiguse kwenye macho.

Soko la zao hili
Pilipili ni zao ambalo halina mbadala wake au (substitute) hivyo kufanya mahitaji yake kuwa ni ya muda wote bila kutetereka.

Changamoto
Muda ambao wakulima wengi wanakuwa wamezizalisha zaidi huathiri sana soko la pilipili kwa maana hata bei ikishushwa sana haiwezi kushawishi watumiaji kutumia pilipili nyingi zaidi.
Kuepuka changamoto hiyo wakulima wanashauriwa kupunguza huduma shambani hadi pale soko litakapo tengemaa vizuri.
 
Hizi ndizo baadhi ya sifa za nchi ya ‘NIUE’; 1.Raia wengi wa ‘NIUE’ wanaishi New Zealand kuliko ‘NIUE’ penyewe 2.’NIUE’ hakuna uhalifu 3.’NIUE’ hakuna taa za barabarani 4.’NIUE’ kuna Wi-Fi ya bure nchi nzima 5.’NIUE’ ni ndogo kwa eneo kuliko W. ya Kinondoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…