myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Liuwoya lizuri wewe. Tena najipeleka mwenyewe kwenda kuibwa aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msukuma atakubali tu kuibwa maana uwoya anaile kitu anapenda ila @andaeitini huyu sina uhakika naye
Kwa nini?Unaweza geuza njia aiseh
Wanaume tutafute pesa tu. Nyingine hizi mbwembwe tu !!!Ama kweli pesa ni sabuni ya roho
Gold Crest iko palepale. Tena usimsahau na Kijana Mpole naye alishaonyesha nia ya kuhudhuria. Kifoosamu safi sana. Kimdabuo cha aina yake. Geti redeeeeeeee [emoji16][emoji16]Hahahahhahaa bora abebe Yegomasika na SHIMBA YA BUYENZE ili wasahau gold crest
Show za kibabe zina matatizo yake sometimesUnajua kuna vitu vinafikirisha sana.
Pole ya huyo mama kwakweli,maana kapata tear ya cervics na uterus pia
Rudi tena kulala kamanda. Safari hii utasikia "Pipoooooooooooooooziiiiii[emoji344][emoji344][emoji344][emoji344]" !!!nimeota napiga kura 2020 mala naskia ...hapa kazi tuu ..nkashtuka maana ni ndoto ya kutisha sanaaa...vyuma vimekaza
Ofisini?
Rudi tena kulala kamanda. Safari hii utasikia "Pipoooooooooooooooziiiiii[emoji344][emoji344][emoji344][emoji344]" !!!