capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Pole sana,View attachment 935592
Bro Mimi napambana na Hali yangu kiugumu gumu
Acha tutafute pesa tu bro,hawa ndugu zetu huwa wanasema tu wapo tyl kwa hali zote lkn kiuhalisia sio kweli,,akitokea jamaa mwenye mawe fresh anasahau ahad zote
Pole sana,
Umesema soon utakuwa Bongo au.?Yuko huku?
Ubaya sifuatiliagi siasa kabisa ila ingependeza kuona hili guu walahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli bro,Tatizo lingine bro unaweza ukaitafuta hiyo na usiipate ambayo unatarajia kwahyo sometimes bora tuishi Tu