Lakini leo hii akizungumzia mambo yanayohusu afya yake na yako, kuchanganya pombe na Energy drinks ni jambo ambalo asingekushauri kabisa ulifanye. Kwani hali ya afya yake ipo ukingoni na asingependa kabisa kuona mtu mwingine akiingia katika majanga aliyoyapata yeye