ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Believe me I will risk! HahahahaZawadi si nilishaitoa jana au hamkuwapo? Hii hapa[emoji116]
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Believe me I will risk! HahahahaZawadi si nilishaitoa jana au hamkuwapo? Hii hapa[emoji116]
![]()
Nimeshafika nami nipate hizo likes.Nilitaka utie neno
Kumbe umeshafika..
Shusha malikeKumbuka kulike uzi wetu pendwa.
Yap zawadi imekwisha ahidiwa humuNdio zawadi ipoo
Acha roho mbayaMod funga uzi imetosha sasa
UsijarSiku likes zikigeuka kuwa pesa nishtueni
Shhhhhhhh usiseme kwa sautiiiiiNikiona imefika post ya 9700 naanza kupost ka nimekatwa kichwa... I got my eye on the prize...
Gr8 chukua malikes ndugu yanguNimeshafika nami nipate hizo likes.
Habari ya asubuhi?
Mie chai imepolea kwenye kikombe, lkn hakuna shida, LIKE kwanza chai tutapasha motoMmekunywa chai kweli
ukhu ukhu [emoji123] [emoji123]Mod funga uzi imetosha sasa
Ushapata...Mnipe na mimi like[emoji28]
Hivi makapuku inahusu nini?Nyumba ya Makapuku inawaka moto...
Zawadi imekwisha tangazwa.Watu hawasomi txt wana like ...... mtakosa zawadi