Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msimu huu mpaka kufikia jana Jumatano Neymar alikuwa ameifungia PSG mabao 13 katika mechi 16 na tayari wanaelekea kuchukua taji lao jingine la Ligi Kuu Ufaransa ambalo limekosa ushindani kwao huku wakiwa wameshinda mechi zote 14 walizocheza mpaka sasa.
 
PSG walimchukua Neymar kwa ajili ya michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya lakini staa huyo ameshindwa kuwafikisha walau nusu fainali ya michuano hiyo na jana walikuwa na kibarua kigumu nyumbani wakicheza na Liverpool katika mchakato wa kutinga hatua ya mtoano.
 
Nadhani Sarri anapaswa kuangalia mpango mwingine, kwa sasa amefeli, bila shaka kumtumia N’Golo Kante kama beki namba nne sio sahihi, vizuri ampumzishe kuliko kumchezesha namba isiyo yake ili kumpisha Jorginho,” alisema.

Katika mchezo dhidi ya Spurs uliochezwa Wembley, Chelsea ilifungwa mabao 3-1 na Desailly aliyeitumikia timu hiyo katika michezo 158 na kufunga mabao sita, alisema kinachoigharimu timu hiyo ni kujilinda zaidi.
 
Sidhani kama timu inaweza kupata ushindi kwa uchezaji huu wa kuchezesha viungo wengi, timu inatakiwa kushambulia kocha aache uwoga awaamini washambuliaji,” alisema.

Ingawa hicho ni kipigo cha kwanza kwa Chelsea msimu huu, lakini kimeiathiri kwa kiasi kikubwa kwani imeporomoka hadi nafasi ya nne ikiwa pointi saba nyuma ya vinara Manchester City.
 
Alimshauri kocha huyo kuuza washambuliaji alionao na kununua wengine katika usajili wa Januari, akisema haiwezekani Eden Hazard, ambaye ni kiungo kuwa mfungaji bora wa timu kwa misimu miwili mfululizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…