Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku ya kwanza nilikutana na wewe
Akili iliruka na kupata kiwewe
Sikuamini kama ningekutana na wewe
Hilo la kwanza naomba unielewe
Nikakutongoza ukanikubalia
Ulijipa moyo tena mia kwa mia
Umekwishapata bwana atakayekuoa
kumbe nilikuona kama demu wa kuzugiaa
Miezi saba mbele iliendelea
Na mapenzi kwako wee yakapungua
kumbe ulikuwa na mimba ya kujifungua
 
Miezi yote hiyo wala hukuniambia
Ulijua lazima nitaisaigia
Na ndio ndoto yangu hiyo ilikuwa
Na ulipojaribu mimi kuniambia
Katukatu nami nikakutalia
Salome mpenzi wangu ukaanza kulia
Kwa uoga wangu mimi nikakuambia
Tuonane siku inayofuatia
Kwa unyonge Salome ukaitikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…