Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bao la Messi lilikuwa la 106 katika Ligi ya Mabingwa akiwa na Barcelona. Ronaldo alifunga mabao 105 akiwa na Real Madrid katika mashindano hayo kabla ya msimu huu kujiunga na Juventus.
 
Pochettino ambaye alikuwa akishutumiwa na mashabiki wa timu hiyo kwa kumnunua kiungo huyo kutoka Ufaransa kwa Pauni 30 milioni kutoka Newcastle United mwaka 2016, hivi sasa anachekelea kwa namna mashabiki wanavyomkubali Sissoko.
 
Sissoko amegeukua kuwa mkabaji na mpishi wa mabao mengi ya Tottenham jambo linalowafanya mashabiki wa timu hiyo kumkubali na kusahau namna walivyombeza ndani ya miaka miwili ya kuitumikia timu hiyo.
 
Nadhani Sissoko anafanya kile tulichokitaraji kutoka kwake sijashangaa kabisa kuona mashabiki wakigeuka kutoka kumzomea na kumuunga mkono katika kila mchezo kwa sababu anafanya kile walichokitaka,” alisema.
 
Pochettino alimpongeza mchezaji huyo aliyepika bao la ushindi lililofungwa na Christian Eriksen jana walipoichapa Inter Milan kwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliofufua matumaini ya kutinga 16 bora.
 
Pochettino alimpongeza mchezaji huyo aliyepika bao la ushindi lililofungwa na Christian Eriksen jana walipoichapa Inter Milan kwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliofufua matumaini ya kutinga 16 bora.
 
Siku zote mashabiki wanampenda mchezaji anayejituma kwa ajili ya timu na wako tayari kumuunga mkono kwa kila hali wamekuwa wakiumia sana pale mchezaji anaposhindwa kujitolea kwa ajili ya klabu,” alisema.
 
Naye nahodha wa timu hiyo Harry Kane, amesema baada ya matokeo hayo sasa watahakikisha wanapambana kwa kila namna ili kushinda mchezo wa mwisho hatua ya makundi licha ya kuwa ugenini dhidi ya Barcelona.
 
Alisema watatumia uwezo wao wote kusaka ushindi kwa kuwa wanafahamu wakishinda watatinga hatua hiyo bila kujali matokeo ya uwanja mwingine, msimu uliopita Spurs iliichapa Real Madrid mabao 3-1 katika hatua kama hiyo ikiwa ugenini nchini Hispania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…