Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mimi nampokea kama mgeni wa kawaida..sina jingine
[emoji115] [emoji116] kamateni likes hizo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali mkuu, niliona kama amekuahidi siku moja kukutembelea. Mpokee kwa sura ya bashasha, anaweza akabadili mawazo, who knows!!!
[emoji15] [emoji15]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] pengine hapagusiki. Hiyo theluji itageuka saruji, si unajua matumizi yake yalivyo mengi?
Today is not like any other day,nakuja kuchungulia tu[emoji116] [emoji116]
he! ndo maana kapotea ghafla baada ya kumkaribisha..ilikuwa aje akaangalie theluji, hakuna jingine
Daaah hadi nimejikuta niko speechless kwakwel[emoji144] [emoji144]
Mkuu unasema carba-ma-zepine ni mgeni? SHIMBA YA BUYENZE unamjua unamsikia? Alilibeba hilo jinaakalipeleka kwa mafundi seremala akalikata hilo jina, likabaki "carba".Haya....
 
Hazikupita dakikaa ukazimia
Ndoo za maji tatu wakakumwagia
Ndipo hapo fahamu zikakurudia
Ulilia mwishowe mpaka kujutia
Ulijuta kwa nini ulikunikubalia
Ulirudi nyumbani kwenu unalia
Hadi chumbani kwako ukajifungia
Salome mpenzi wangu ukaandika barua

Huu mwimbo alitunga tu or ilitokea.. sijui nyimbo nyingi za waimbaji wetu wa miaka hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…