aisee,,,,,, kumbe kuna mazoezi ya kutengeneza/kuongeza ukubwa wa ta.koHuyo binti Mkuu alikuwa wa kawaida sana miaka michache tu iliyopita lakini juhudi zake kwenye mazoezi na kula vizuri zimemsaidia ameweza kujenga umbo la kuvutia sana na bado hajachoka anaendelea na juhudi zake za kwenda Gym kwa masaa kadhaa kila siku iendayo kwa Mungu na wala kisu (plastic surgery) hakijamgusa.
BAK my maan what up!
Hahaha umeicheki na wewe ?Lebron 7 [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mkuu