mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Muda utaongeaShughuli ipo leo hapo Anfield. Miamba ya soka katika Ligi Kuu England, Liverpool itakuwa nyumbani kuikaribisha Manchester United katika mpambano mkali huku makocha wa pande zote wakijitanabahi kushinda.
Hatujawahi kutumia huo mfumo tangu ligi kuanzaLiverpool inayotumia mfumo wa 4-4-2, inaweza kupangwa hivi: Alisson; Milner, Robertson, Lovren, Van Dijk; Wijnaldum, Fabinho, Shaqiri, Keita; Salah na Firmino.
Naye kocha Mourinho kwa upande wake, matumaini yake yako kwa baadhi ya wachezaji waliokuwa majeruhi na sasa wamerudi na watashuka pale Anfield. Hata hivyo, mashine zake kadhaa zitakosekana; Marcos Rojo aliumia mechi ya Valencia na pia atawakosa Victor Lindelof na Alexis Sanchez.
[emoji3][emoji3][emoji3]jamaniii. Pole AnkoHahaha polen nipo napambana na nge huku daah
KweliiMuda utaongea
Mungu atupe jioni njema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jose Mourhno shinda na ww bhana,,tumechoka kulala na viatu
Dah! Kizuriii
Niaje MkuuHabari za jumapili