Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
He he he he
State mkuu?Newton's third law of motion
GranadeTalking to the moon
MAKOCHA WANAOTAJWA KUTUA MANCHESTER UNITED
10/11 - Zinedine Zidane
4/1 - Antonio Conte
5/1 - Mauricio Pochettino
5/1 - Laurent Blanc
14/1 - Arsene Wenger
22/1 - Leonardo Jardim
25/1 - Mikel Arteta
33/1 - Massimiliano Allegri
33/1 - Eddie Howe
33/1 - Ryan Giggs
33/1 - Brendan Rodgers
33/1 - Diego Simeone
33/1 - Roberto Martinez
33/1 - Luis Enrique
33/1 - Didier Deschamps
40/1 - Carlo Ancelotti
50/1 - Thomas Tuchel
50/1 - Michael Carrick
50/1 - Rafa Benitez
66/1 - Marco Silva
66/1 - Gareth Southgate
75/1 - Sean Dyche
75/1 - Eric Cantona
Odds according to Betfair
Pogba alikuwa wa kwanza kuposti ujumbe wa kufurahia kutimuliwa kwake akiposti kwenye mtandao wake ingawa baadaye kidogo tu aliufuta.
Man u wampatie Wenger hiyo timuKipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Liverpool Jumapili iliyopita kimehitimisha kibarua cha kocha Jose Mourinho katika klabu ya Manchester United.
Katika mchezo ambao Liverpool walikuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Anfield, Mwenyekiti na mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo, Ed Woodward, alikuwa uwanjani pembeni mwa gwiji la soka la klabu huyo Sir Bobby Charlton.
Bye Jose....Mourinho aliondoka bila hata kuwaaga wachezaji wake ambao wakati akuiondoka walikuwa kwenye uwanaj wa mazoezi wa timu hiyo.
State mkuu?
Kama waliweza kubadilishana Rooney kwa Lukaku. watashindwaje kumpa Wenger timu yao??Man u wampatie Wenger hiyo timu
Mmmmh aiseee hasaraMan u wampatie Wenger hiyo timu
[emoji818][emoji818]for every action, there's equal but opposite reaction