ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Malkia halafu kapotea kidogo. Siku kadhaa sasa sijamuona hapa. MsalimieNipe number yake
Malkia asione hii post
Eti vyuma vimekaza [emoji16][emoji16][emoji16]
Si ajabu hata mnara hapo unasoma. Majoho hayo huwa yanaficha mengi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mkuu niaje habari za masiku
Kwa huyu jamaa hapa dogo atachemsha [emoji16][emoji16][emoji16]
Yupo mwisho wa mwaka majukumu plusMalkia halafu kapotea kidogo. Siku kadhaa sasa sijamuona hapa. Msalimie
Nina habari za airbus pekee,Mkuu niaje habari za masiku
Msalimie KK
Mwambie huku liver ni unbeaten
Na tumepata ndege mpya air bus lakini habari zake zimezimwa na ushindi wa Simba
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Si ajabu hata mnara hapo unasoma. Majoho hayo huwa yanaficha mengi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vyura bado hawajaamini [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 975611
Mwamba wa lusaka unamjuaNina habari za airbus pekee,
Simba kaingia mjini na kuleta balaa gani?
Liver inatamanisha sana