carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Heri ya Noeli na Mwaka Mpya Shemeji. Mungu AENDELEE kukubariki wewe pamoja na watekaji na wapendwa wako wote leo na kesho na hata milele [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kabisaaa. Ukitoka hapo ule na boga sasa. Ukipita mtaani mabinti ni shikamoo kaka magoti mpaka chini hata kwa wanaokuzidi umri kumbe habari zishawafikia [emoji16][emoji16][emoji16]Ukila hiyo heshima ya ukoo haipotei!
TrueMatendo chanya na juhudi yatakuletea matokeo chanya
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]InshaAllah amin SYB.
Ukawe na sikukuu njema na mwaka mpya wenye baraka nyingi.
Barikiwa siku zote[emoji120][emoji120][emoji120]
Ngoja nitafute page yake ya IG...Huyu ni mdau wa huzi huu naomba nisimtaje!
ANYTHING WORTH HAVING REQUIRES THE SECOND INTERVIEW
Ndio ndio...hello team likers
Jamaniiiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Mpendwa sikukuu kwangu chungu balaa. Maisha haya mmmh
Kupunguza hali halisi anonymous mie nabaki kumshangaa masai hapaView attachment 976433
teh teh teh teh