Jana tumekua keja na stonner flani... Alikua anadai kuwasha moto tupike
Akajaribu kijiti ya kwanza, ya pili, ya tatu zote zikakataa kuwaka.... Ya nne ikakubali..
Mjinga akaizima akasema hio ataiweka vizuri juu ndio pekee inawaka[emoji23][emoji23]
Tulikula kicheko tukalala ndio tunaamka