Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ha ha kamelala mbele hakajajibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanaweza kuwa kameiginoa. Urafiki/utani wangu na kenyewe umelega lega sana siku za hivi karibuni...(Sad)

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Kanasemaga nyasi zikitibuliwa sana zinakosa afya na hata kupukutika [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Ha ha ha inaweza kuwa kweli kameignoa au usingz utakuwa umekashika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa kanaiginoa kimya kimya [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…