Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bado davet kapotea akiibuka mwali ndani mambo ni fireeee
Aaaa wapi. Andaeitini yule bado anakula maisha kwanza. Sana sana akirudi utasikia uzinduzi mwingine part III huko MMU. Sijui huwa anawafanyaga nini mpaka wanakimbilia kumzindua ili wajimilikishe. Tumuombee tu kijana wetu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…