myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kula kwa uma..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama...Habari za usiku huu
Leo ni LeoBig match at Etihad
Mh!!Cole
Bonge la RC!.....RC WA TABORA AFUNGUKA : “Sasa wewe unapiga maji toka asubuhi mpaka jioni unasema aaaah nimeyapiga maji sasa naiona DSM nikiwa hapa Tabora unajiuliza amekunywa Pombe hii ina darubini ?, Mlevi ni mshenzi na mshenzi ni Mtu yeyote ambae siye mstaarabu”,