Ha ha ha mambo vp numbisaHahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahaahahahahahah
Mmh,,kahabari kazuri,tatzo msimuliaji una mikwara mingi sana,,[emoji23][emoji23]Ooh, jibu ni LL Cool J. Unajua kwa nini jibu ni LL? Jawabu ni Tupac Shakur. Vipi nakuchanganya eeh? Unaona nyotanyota siyo? Usikonde, majibu yote utapata, unachotakiwa ni kuonesha ustaarabu.
Ngoja nisikuchoshe; Desemba 2016, majibu ya watunukiwa wa Rock & Roll Hall of Fame 2017 yalitoka. Fundi wa Folk Rock, Joan Baez, bendi za Rock, Electric Light Orchestra, Journey, Yes na Pearl Jam, vilevile rapa Tupac Shakur walishinda.
Unadhani hivyo tu ndiyo jibu limetosha? Bado! Aprili 9, 2017, ilikuwa ni kilele cha tuzo za Rock & Roll Hall of Fame 2017. Tupac hayupo duniani tangu Septemba 13, 1996. Hivyo, swali lilikuwa ni akina nani wangepanda jukwaani kumuenzi Tupac?
Asante mkuu!!Tupo, tumepita kwenye mapito ya kawaida ya kimchezo.
Hongera sana mashabiki wote wa Man City, Hongera zaidi ziwafikie mashabiki wa Man United kwa kuondokana na kocha mwenye mdomo mwingi Mourinho aliyeipoteza timu yenu ambayo sasa inanyanyuka chini ya babyface
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji818][emoji818][emoji818]Alipoondoka Snoop, akaja Alicia Keys na piano yake, akaimba chorus za nyimbo za Pac kama Dear Mama, Ain't Mad at Cha, Changes, Ambitions as a Ridah na I Got Around, huku akielezea alivyompenda Tupac na kutamani kama angekutana naye. Alicia ni wa East Coast kwa akina Notorious BIG, Jay Z, P Diddy, LL na wengine, wakati Tupac alikuwa kinara wa West Coast. Tofauti hiyo haijamzuia Alicia kumpenda.
Ni mtizamo tu!Akapanda Treach wa Naughty By Nature, akachana Hail Mary ya 2Pac, kisha T.I akawadatisha wadada na wamama kwa Keep Ya Head Up ya 2Pac. Ilikuwa siku ya Tupac the King. Snoop akasema 2Pac ni Greatest Rapper of all time. Usiteseke!
Usiteseke hahahaha
Poa kijana mjanja
[emoji23][emoji23]Mmh,,kahabari kazuri,tatzo msimuliaji una mikwara mingi sana,,[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchana mwema pia