myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kipigo cha mbwa koko baada ya kukamatwa akikata wavu za dirishaView attachment 985866View attachment 985867View attachment 985868
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamii ya kijinga tu. Inakata mikono wakata wavu wa madirishani lakini inaabudu mafisadi yanayokwapua mabilioni. Pathetic !!!
Mambo yanaenda vipi upande wako, na kumekuchaje hukoKwema sana bro. Chimbo linaendeleaje?
Sahihi ni kumpeleka polisi. Uliofanyika hapa ni ukatili na tabia hii ya kujichukulia sheria mkononi utaiona kwenye shithole societies tu.Kipigo cha mbwa koko baada ya kukamatwa akikata wavu za dirishaView attachment 985866View attachment 985867View attachment 985868
Sent using Jamii Forums mobile app
More than patheticJamii ya kijinga tu. Inakata mikono wakata wavu wa madirishani lakini inaabudu mafisadi yanayokwapua mabilioni. Pathetic !!!
Hasira za kuibiwa plus vyuma kukaza watu wakaamua wamalizane nae maana wanajua wakimpeleka kwenye vyombo vya dola kesho atarudi uraiani
Bado si sawa kumfanyia hivyoHasira za kuibiwa plus vyuma kukaza watu wakaamua wamalizane nae maana wanajua wakimpeleka kwenye vyombo vya dola kesho atarudi uraiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha wachomwe tu vyombo vyetu havitoi bado stahiki kwa wavunjaji sheria.Bado si sawa kumfanyia hivyo