[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado anataka kurud tena,safar hii atahamia kabsaDogo bado hoiiiii !!!
Mwanza si ya kuchezea [emoji16][emoji16][emoji16]
Mikia minene ya sato na sangara wa Mwanza ni mitamu mno jamani. Dogo hata akihamia sitamlaumu. Nakumbuka Gold Crest jamaniiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado anataka kurud tena,safar hii atahamia kabsa