Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

GuDume
JF-Expert Member
Today at 2:29 PM
#1
Mwaka jana mwezi wa 10 jamaa mmoja nlifahamiana naye humu kupitia michango mbalimbali. Akani PM akanielezea shida zake.alikuwa mpole na mstaarabu.tuliendelea kuwa friends mpaka mwez wa 11 aliponambia ana shida.alinambia ni mwaka sasa hana kazi so alipatwa na shida flani nimsaidie.nikasema si mbaya kijana mwenzangu nikamsadia.

Baadaye nlimtafuta akafanye interview sehemu moja.i was there pia katika panel.he didnt know kwamba nlikuwepo coz nlimwambia tu kuwa nmemuunganisha na jamaa mmoja atamsaidia.

CV yake ilionesha kuwa ameajiriwa mpaka july 2018. Namba ya simu na jina ni lake ambalo alinitajia before. November nikaenda kwenye ile kampuni aliyosema alifanya kazi ni ya clearing and forwarding ipo posta Jengo la JAY MALL.

sikwenda kumtafuta yeye.nlienda kwa shughuli zangu nikamkuta akiwa moja ya ofisi za mle ndani.bahati nzuri dada mmoja anayefanya kazi pale nafahamiana naye.wakati natoka naye akinisindikiza na akienda kupata lunch nikamuuliza kuhusu yule jamaa.akasema yupo pale toka mwaka 2014. Yeye amemkuta pale kazini.

Nlikuja mtafuta jamaa.alikiri kuwa ameajiriwa ila tu alikuwa na shida na pesa ndo akaona anambie vile.kifupi alinifanyia utapeli.akaomba msamaha na kusema he wont do that again.as a man nmeamua nifiche ID yake ila nianike uovu wake.
 
Sodoku
JF-Expert Member
Sep 1, 2018
#1
Mara ya kwanza sikuwa namchukulia kama ni mtu makini.kutokana na threads zake.ingawa baadaye nlianza kugundua the man knows a lot sema kaamua tu kuwa alivyo.

Kuna thread flani alizungumzia mambo ya kazi nami nikaona nimfuate pembeni anisaidie kwa mdogo wangu kamaliza degree ya civil engineering.

Jamaa amemsaidia sana kupata kazi katika kampuni ambako na yeye alihusika kumfanyia interview.out of here he is a very humble and cool person maana nmeonana naye three times.cha kushangaza alikataa kata kata kupokea pesa ya asante.

Nashukuru JF kutukutanisha watu wa aina mbalimbali. Nakushukuru ndugu GuDume uendelee na moyo huo huo.na wengine pia naamini mpo wenye roho njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…