Siasa zinachangia sana kushusha imani za uwepo wa Mungu. Yaani wafurukutwa walifikia kuamini kuwa Jaji Lubuva anauwezo mkubwa wa kubadilisha mambo kuliko kumtegemea MunguSiasa shwaiiini kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 995207
Huyu Askofu yuko wapi kwa sasa? We need to talk [emoji16][emoji16][emoji16]Siasa zinachangia sana kushusha imani za uwepo wa Mungu. Yaani wafurukutwa walifikia kuamini kuwa Jaji Lubuva anauwezo mkubwa wa kubadilisha mambo kuliko kumtegemea Mungu View attachment 995220
Alisha kufa kiimani japo bado anaendesha shughuli zake kimya kimya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Askofu yuko wapi kwa sasa? We need to talk [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na maarusi nao yawezekana si waaminifu pia, haiwezekani ubebe cret kwenye siku muhimu kama hiyo.Hata majumbani, wasichana wa kazi wasifanye kazi zote, wakuu wa familia tuwajibike ipasavyo View attachment 995185