Mamboz02:34
Yeah man maana humu siwezi.. Kwa mara ya kwanza naona uzi umewaleta wana jf pamoja bila kujali itikadi, dini nk.. Bila kusahau kugawa likes za bure sio jambo la kitoto teh tehUmchane??
Mdo mdo.Mamboz
Hamna! Niko huku kwenye stress free zone hahahahaNjoo kule kwingine nikutukane kidogo ukiwa unachekelea tu Tingatinga linavyo tindua tu barabara
Fresh kwa kweliMdo mdo.
Kwako???
Hahah sasa huo uchafu upo kwenye fikra au nini hasa?Hahahaha kawaida tu mkuu
That's nice of you reallyI can only nourish you with tears of gratitude
HahahahaHahah sasa huo uchafu upo kwenye fikra au nini hasa?
Likes tunagawa kama njugu mkuu.Yeah man maana humu siwezi.. Kwa mara ya kwanza naona uzi umewaleta wana jf pamoja bila kujali itikadi, dini nk.. Bila kusahau kugawa likes za bure sio jambo la kitoto teh teh
Hii siwezi ku like aisee tunawekana kwenye majaribuBut for now you and me
in this intimate embrace