Huyo ndio wewe aliyebeba binduki
unaipendea nini?Manchester united
Hahaha kama amesuka mabutu
Aisee ningeogopa kulala humo ndani ya Tenti.. wanyama wanatembea hapohapo nje
Ni hatari aisee.Haya ni miongoni mwa mambo yanayoonyesha attachments za imani/dini zilivyo hatari.
Moja kati ya vitu sipendi ni interviews tena za reja reja zisizo na faida.unaipendea nini?
hahahahahaahh, michezo gani hiyo mo.Au ndio kibaba babaaa 😀😀
Cool
Cc Fragaria.
safi
Tanzania yetu
Fika porini ukafurahi, wanyama kila mahaliAisee ningeogopa kulala humo ndani ya Tenti.. wanyama wanatembea hapohapo nje