Hahahha poleni sana
oooh them shoes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo my siipendi,,et mambo my,,nilikumiss my
Amepatikana leoHahahha poleni sana
Wapo kimyaaaa leo kama wamemwagiwa majiWazee Wa This Is Simba,matokeo yenu tunayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo poa kama kichapo cha as vita kwa simba. Kuna mtu kala ngumi tano bila hahahahaHahahaha
Uko poa lakini??
Sawasawa..Raha jipe mwenyewe
Mambo bado....Wapo kimyaaaa leo kama wamemwagiwa maji
Hahahahahaha ankooooooHawa shwaini walituletea ustaarabu wa kuikata "minani hii yetu" huku mbele, mbona wenyewe wanayo na ni wengi tu? Nisingeng'olewa langu hata wazo la kibamia lisingenipitia Walahi....