Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye safu ya ulinzi, si Laurent Koscielny, Shkodran Mustafi wala Sokratis Papastathopoulos waliopata nafasi na ukuta wa timu hiyo wote unaundwa na wakali wa Chelsea, ambao ni David Luiz na Antonio Rudiger wakicheza kati na Marcos Alonso na Cesar Azpilicueta wakiwa pembeni na kuwaweka benchi mabeki wa pembeni wa Arsenal kama Sead Kolasinac, Nacho Monreal na Hector Bellerin.
 
Kwenye kiungo hakuna cha Granit Xhaka wala Lucas Torreira, eneo hilo limetawaliwa na mastaa wa Chelsea, ambao Jorginho na N’Golo Kante ili kufanya mfumo wa kiuchezaji wa 4-2-3-1 kufanya vyema. Wachezaji wa Arsenal sasa hao wawili, wanaingia kwenye sehemu ya ushambuliaji, ambapo Pierre-Emerick Aubameyang akikaa upande wa kushoto kwenye mstari wa washambuliaji watatu wanaocheza nyuma ya mshambuliaji wa kati, ambaye ni Alexandre Lacazette. Kwenye kikosi hicho, Eden Hazard atacheza nyuma ya mshambuliaji wa kati na kulia ni Mbrazili Willian.
 
Jambo hilo litawafanya wachezaji wengine kama Pedro, Aaron Ramsey na Alex Iwobi kusubiri kwenye benchi, wakati kipaji kama Mesut Ozil haijulikani kama hata benchi atakuwapo kutokana na kiwango chake cha siku za karibuni.
 
kufahamu kuwa ukuzaji wa nywele unakwenda pamoja na dhamira nzima ya utunzaji wake. Ifahamike kuwa kama mtu anafuata kwa makini mbinu za utunzaji wa nywele, basi itakuwa rahisi kuzikuza nywele zake. Lakini kuna mambo muhimu ambayo mtu anatakiwa kuyazingatia ili kuhakikisha nywele zake zinarefuka huku zikiwa na ubora unaotakiwa.kufahamu kuwa ukuzaji wa nywele unakwenda pamoja na dhamira nzima ya utunzaji wake. Ifahamike kuwa kama mtu anafuata kwa makini mbinu za utunzaji wa nywele, basi itakuwa rahisi kuzikuza nywele zake. Lakini kuna mambo muhimu ambayo mtu anatakiwa kuyazingatia ili kuhakikisha nywele zake zinarefuka huku zikiwa na ubora unaotakiwa.
 
kufahamu kuwa ukuzaji wa nywele unakwenda pamoja na dhamira nzima ya utunzaji wake. Ifahamike kuwa kama mtu anafuata kwa makini mbinu za utunzaji wa nywele, basi itakuwa rahisi kuzikuza nywele zake. Lakini kuna mambo muhimu ambayo mtu anatakiwa kuyazingatia ili kuhakikisha nywele zake zinarefuka huku zikiwa na ubora unaotakiwa.
 
Jambo la kwanza ambalo ni muhimu kwa muhusika kuwa makini nalo, ni uchaguzi wa shampoo. Kama mhusika si mtaalamu katika kuchagua shampoo, anatakiwa kuonana na wataalamu wa urembo ili wampe ushauri juu ya aina ya nywele zake na shampoo anayotakiwa kutumia. Vile vile mhusika anashauriwa kupunguza nywele zake kila baada ya wiki mbili, hapa namaanisha kukata ncha. Kufanya hivyo kutasabaisha nywele zikue huku zikiwa na ubora unaotakiwa.
 
Jambo jingine la muhimu ni kupaka mafuta ambayo yanakwenda sambamba na nywele zako, kama ilivyo katika shampoo. Mhusika pia anatakiwa kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa nywele ili kufahamu aina sahihi ya mafuta yake. Vile vile stiming ni kitu muhimu kwa mhusika katika kuhakikisha kwamba nywele zake zinakuwa katika ubora unaotakiwa.
 
Kitana kikubwa kitasaidia kufungua nywele ambazo zimefungamana na kile kidogo husaidia kulainisha nywele. Vile vile ni muhimu kuosha nywele kila baada ya siku tatu na kama mhusika akiona hana muda wa kutosha, basi afanye hivyo kila baada ya wiki moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…