myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ni kheri tu,,leo miji mingi itakuwa kimya[emoji23][emoji23]Amepatikana leo
Hahaha na huo ndio mpiraWapo kimyaaaa leo kama wamemwagiwa maji
Hahahahaha eti upo poa kama kichapo cha simba toka vita,,,hk kichapo kimetuliza miji mingi sana leo,,,huku nilipo watu wapole kama nn hahahahNipo poa kama kichapo cha as vita kwa simba. Kuna mtu kala ngumi tano bila hahahaha
Yaan raha sana hasa ukizingatia yanga kapigwa leo ila kipigo cha tano nunhe kimemaliza nguvu wapinzaniHahahahaha eti upo poa kama kichapo cha simba toka vita,,,hk kichapo kimetuliza miji mingi sana leo,,,huku nilipo watu wapole kama nn hahahah
Hahahah hakuna kuchekana leo,,ni kmya kmya tuYaan raha sana hasa ukizingatia yanga kapigwa leo ila kipigo cha tano nunhe kimemaliza nguvu wapinzani