Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha ila kuwa dr ni wito ule aisee,vitu kama hv kuna kipndi unaona kawaida sana japo ni mitihani ya kupambana na nafsi yako

Yap,,hyo kawaida sana bro,hapo kwa kuwa tu yupo na nguo tunaona hvyo,ila tyl kitu mazoea yakishajengeka unachukulia kawaida sana,tena sana
 
Ila tuache utani bro. Imagine zali ndo limekuangukia hapo ndo bed kwenye ghetto lako tayari kuraruriwa. Siku hiyo patachimbika eeeh!? Utaomba mpaka mizimu ya Kinyiramba ikutie nguvu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…