Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Pale unapokuwa umefulia sana...Mgeni anakutembelea Maskani kwako....Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya Mgeni na Ile Chupa ya Sprite Unaijaza Maji ili Ukirudi Uweze kumpa Kampani Mgeni......Unafika Seblen Unampa Ile soda ya Fanta Mgeni anakuambia Fanta huwa situmii Nipe hiyo sprite .....Bwana....Bwana. ...Bwana....Weee* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
african[emoji3449]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…