capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Singida zile rangi ndio kiboko hahahTanga kunani?
View attachment 999537
Naomba usinikumbushe please. Nakuomba sana !!!Singida zile rangi ndio kiboko hahah
Dah upo makini Bro! Ninavo heshimu hizo ring ningekuwa nimemkosa tayari....on the wrong finga [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mi hata kama kavaa kwenye kidole sahihi huwa nacheki ili kuhakikisha. Wengine utakuta hawataki tu kusumbuliwa kwa wakati ule.Dah upo makini Bro! Ninavo heshimu hizo ring ningekuwa nimemkosa tayari.
Looking at somethingWhat else,
Aug 2016? Time travel
Muswada uandaliwe tuungane na Rwanda...Kimkoa tu kile na hakitatupa shida [emoji16][emoji16][emoji16]