Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mwonekano wao ni tofauti na Roho zao.Muswada uandaliwe tuungane na Rwanda...Kimkoa tu kile na hakitatupa shida [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa Nini mkuu??Mwonekano wao ni tofauti na Roho zao.
Siwazi kujifungamanisha na hawa watu hata siku moja.
Nalijua hilo bro...Mwonekano wao ni tofauti na Roho zao.
Siwazi kujifungamanisha na hawa watu hata siku moja.
Duuuh ndiyo tabia zao hizoNalijua hilo bro...
Ni nationalist sana na asipoolewa na mwenzake ni shida...
Mkuu habar yako
Huku kwetu shwari, vipi huko kwenuHarakati zinaendaje pande hizo mkuu
Na test mitambo
Hahaha nmeacha broNaomba usinikumbushe please. Nakuomba sana !!!