Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata hivyo, kocha wa PSG, Thomas Tuchel hakufurahiswa na kauli za wachezaji wa Strasbourg na kocha wao kuhusu tabia ya Neymar kuwapiga chenga za maudhi wapinzani wake ndiyo kunaposabisha kupata majeraha.
 
Hata hivyo, kwa staili yake ya usherehekeaji alipopachika penalti, ilikuwa ni thibitisho tosha kauli yake lejendari wa Manchester United, Bryan Robson ambaye ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza kufichua Pogba na Maria kupata mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…