Hakuna matumaini ya kumpata mchezaji wa Cardiff City, Emiliano Sala, amesema mmoja wa maafisa wa uokozi.
Mshambuliaji huyo raia wa Argentina,mwenye umri wa miaka 28, na rubani walikua wameabiri ndege iliyopotea katika viswa vya Channel Jumatatu usiku.
Afisaa mkuu wa visiwa vya Channel anayesimamimia shughuli ya kutafuta ndege, John Fitzgerald, amesema "hata mtu aliye na afya nzuri zaidi" hawezi kuponea kuwa ndani ya maji kwa saa kadhaa.'Hakuna matumaini' ya kumpata nyota wa soka