Mkuu ukfanikiwa jarb kushare, nami na tatzo km hlo...transcend yng imezngua files zote zmefutikaNdugu zangu,,naomba msaada,,external yangu imefuta kila kitu,,nilikuwa naomba msaada kwa mtu anayejua app ya kurecover ,,ili faili zangu zirudi zote upya.
Weekend mbaya sana kwangu hii!!