myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
safi sana
duh!!Anataka afutwe mchanga huyu
Tafsiri bila kuomba msaada kama umeelewa. Poti yuko vizuri sana kwenye Kikoromije sina wasiwasi naye [emoji16][emoji16][emoji16]Tumeelewa vizuri tu si eti potiii[emoji23]
Hahaha mkuu kwenye huu mzigo mbona umesema duh,,,badala ya safi au safi sana,,,kipi kimekushangazaduh!!
Hahaa mamaee. Hapa natakiwa niwe na worth USD ngapi kwenye Acc hebu niambie kwanza .... maana huweza ikanipa motisha ya kuongeza bidii ili niende huko ibiza kuwatafuta hao viumbe
Kitu kimetulia kuanzia UTOSINI hadi kwenye UNYAYO
weweeee....
Hahaa mamaee. Hapa natakiwa niwe na worth USD ngapi kwenye Acc hebu niambie kwanza .... maana huweza ikanipa motisha ya kuongeza bidii ili niende huko ibiza kuwatafuta hao viumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah kwahiyo nikuji changanya tu " .. !? Usije kunifanya nianze kushinda sea clifHahahahahahahaha Watoto wa MUJINI wanasema PUMZI yako tu wala USITESEKE na unaweza kabisa KUTUNUKIWA huhitaji kuwa BILIONEA AKA Bakhressa/Mengi.