Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya purukushani za muda mrefu, hatimaye Barca ilishinda vita ya kuinasa huduma ya staa huyo mwaka 2013. Neymar aliisaidia Barca kubeba mataji kibao ikiwamo matatu makubwa kwa msimu mmoja huku akifunga mabao 105 katika misimu yake minne aliyokuwa kwenye timu hiyo, huku mabao 68 akifunga kwenye La Liga.

Kwa sasa amejiunga na Paris Saint-Germain kwa ada iliyovunja rekodi ya dunia ya Pauni 200 milioni.
 
Luis Suarez

Nafasi: Straika

Washindi: Barcelona

Ada: Pauni 65 milioni

Straika, Luis Suarez aliwahi kukaririwa akisema kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kwenda kujiunga na Real Madrid wakati anaondoka Liverpool, lakini shida ni kwamba Barcelona nayo ilikuwa kwenye mbio za kuinasa saini yake, hivyo ilikuwa ngumu kwa upande kuacha fursa ya kwenda kucheza timu moja ya Lionel Messi mpite.
 
Kutokana na hilo, Suarez alikwenda kujiunga na Barcelona baada ya fainali za Kombe la Dunia 2014, ambako alikuwa na majanga yake kutokana na kumng’ata beki wa Italia, Giorgio Chiellini na kukumbana na adhabu ya kufungiwa na Fifa. Tangu atue kwenye kikosi cha Barcelona, Suarez amekuwa moto kwelikweli na kufunga mabao na kubeba mataji kibao akiwa na kikosi hicho huku akicheza sambamba na Messi na kuna kipindi alikuwa akiunda kombinesheni hatari sana kwenye fowadi sambamba na Neymar iliyokuwa ikifahamika kwa jina la MSN, kwa maana ya Messi, Suarez, Neymar.
 
Jamani. Hata wewe the polaiti wani unatufanyia hivi kweli? Timu Tecno kujeni huku kuna mtu anatubipu [emoji16][emoji16][emoji16]

Capital akiona hii na timu yake ya roho mbaya dhidi ya TECNO atafurahi balaa....
Ha hah

Hayo mateso yenu sijui style gani aroohh!

Itabidi nitafute TECNO ni experience hiyo mateso kidogo ikiwezekana na mimi niione Pepo kupitia TECNO!!
 
Ha hah

Hayo mateso yenu sijui style gani aroohh!

Itabidi nitafute TECNO ni experience hiyo mateso kidogo ikiwezekana na mimi niione Pepo kupitia TECNO!!
Ukifanya kosa hilo iPhone hutaikumbuka tena na utajuta kwa nini hukuswichi mapema. Hakuna simu kama TECNO hapa duniani sema tu kutokana na umaarufu wake basi inataniwa sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukifanya kosa hilo iPhone hutaikumbuka tena na utajuta kwa nini hukuswichi mapema. Hakuna simu kama TECNO hapa duniani sema tu kutokana na umaarufu wake basi inataniwa sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Unazungumzia Dunia hii ya science na Tecnologia ya hali ya juu ama Ulimwengu huu wa tatu ninao usikia??

Bro mimi natest zari tu ikitokea wakaenda mbinguni nisikosemo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…