Marvelous King
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 662
- 1,293
Wachezaji Wana vitukoKATIKA usiku wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa mchezaji wa kimataifa wa Brazil, Neymar Jr aliwaeleza waalikwa alitamani kupatiwa zawadi ya kifupa kipya cha mguu wake uliojeruhiwa.