[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Wewe vipi; kwema huko?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]kama naiona rangi yake vile... View attachment 1020578
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Wewe vipi; kwema huko?
Hebu weka ya lile jamaa lenye kwato na kichwa cha mbwa sijui likinesanesa kwa madaha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ndiyo. Niko salama kabisa. Wapwa zangu waambie anko wao nakaribia kuja. Na big G za kutosha. Na dada ajiandae kupika ugali wa kueleweka. Tuombe uzima [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Namshukuru Mungu huku ni kwema. Najua umeamka ukiwa na afya njema
Ni saa 10 usiku bado lakini nimejikuta naangusha kicheko cha kufa mtu. Hufai...na jiangalie na iginoa listi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nakuombea afya njema[emoji120][emoji120].Ndiyo. Niko salama kabisa. Wapwa zangu waambie anko wao nakaribia kuja. Na big G za kutosha. Na dada ajiandae kupika ugali wa kueleweka. Tuombe uzima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]