Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ankoooo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Rapa wa kike Cardi B amejiondoa ghafla kwenye mtandao Instagram. Hatua hiyo ameifikia baada ya kuondoka na ushindi mkubwa kwenye tuzo za Grammy jumapili kwenye kipengele cha Best Rap Album. Hakuna sababu za wazi zilizosemekana kwanini ametoka kwenye mtandao huo ila kwenye tweeter akaunt yake bado ipo active.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…