Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.NI maumivu pale Stamford Bridge. Ndani ya dakika 24 juzi Jumapili Chelsea ilikuwa imechezea kichapo cha mabao 4-0. Ndani ya dakika 90 ilikuwa imechezea mabao 6-0. Na kuna watu wawili wametabiri Roman Abramovich ataondoka na kichwa cha mtu
 
Wachambuzi wa soka, Graeme Souness na Gary Neville wanaamini kibarua cha kocha Muitaliano, Maurizio Sarri kipo hatarini na muda wowote kocha huyo anaweza kupoteza kazi yake kutokana na fedhea aliyowapa Chelsea juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…