Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtu kama Esta ndiyo poa. Unamtibua unakula zako za uso unakwenda kuugulizia maumivu yako huko halafu mnakwenda sawa. Wakimya hawa ni chalenji sana bro...inabidi uwe mvumilivu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu; hata kama ni kutangaza channel yako hutampata mtu kwa njia hii. Ni Advertising 101. Usimrundikie mtangaziwa matangazo mengi namna hii. Tafuta interest yake ilipo kulingana na wakati na mazingira aliyomo halafu umkamate hapo. Kwa leo video hizo mbili za Simba zingetosha. Haya mengine yooote uliyoongezea ni turn off na kukimbiza watu. Nina kijitabu hapa kinatoa mbinu 500 za kutumia katika effective advertising kama unakitaka sema nikutumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…